Serikali kutangaza milima ya MBEYA kuwa sehemu mahususi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais muungano na mazingira JANUARI MAKAMBA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais muungano na mazingira JANUARI MAKAMBA amesema serikali itatangaza safu za milima ya MBEYA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais muungano na mazingira
JANUARI MAKAMBA amesema serikali itatangaza safu za milima ya MBEYA
kuwa sehemu mahususi ili kutunza vyanzo vya maji yanayopatikana katika
milima hiyo.
Waziri MAKAMBA amesema hayo mkoani MBEYA wakati alipotembelea vyanzo vya maji vya milima ya MBEYA ambapo amesema shughuli za kibinadamu zimepunguza vyanzo vya maji mkoani humo kutoka vyanzo HAMSINI na NNE hadi vyanzo VINNE.
Pia Waziri MAKAMBA ametoa wito kwa wadau mbalimbali wa mazingira kutoa ushirikiano katika kutunza vyanzo vya milima ya MBEYA ili kuepusha gharama ambazo zinaweza kupatikana baada ya vyanzo hivyo kutoweka.

No comments