Milioni 100 za JIONGEZE NA M-POWER zapata mshindi
NOEL MAZOYA
PAULINA
KULWA kutoka jiji la MWANZA amejishindia shilingi milioni MIA MOJA
baada ya kujishindia bahati nasibu ya JIONGEZE NA M-POWER inayoendeshwa
na VODACOM TANZANIA kwa kushirikiana na BENKI ya CBA.
Washindi wengine wa JIONGEZE na M-POWER wameshindia zawadi kuwania milioni moja hadi milioni 20.
No comments