Mwimbaji AT kutoka Zanzibar amemtupia Mwimbaji Peter Msechu Maneno ya Shombo ambayo yamemwacha kila mtu mdomo wazi:
“Mvuto Sifuri Bikaka @peter_msechu Nene km Lori Hivi kuongelea wembamba
wangu unalipwa sitaki shobo km lakufanya huna jikate minyama yako
ujichome mishkaki usi nitekenye mdomo ukataka niongee,” ameandika AT
kwenye Instagram.
“Tumbo Tumbo km Umeficha Kobe wewe nipotezee usilazimishe mimi niwe
karibu na wewe sina shida ya kukuazima tumbo nende nalo harusini
Mifulana km Turubali za Msimbani Babu kaa mbali na mimi kwani hivi na
wewe ni msanii wanchi hii au Muuza kufia za Oliva Mtukuzi?”
“Pyuuuuuuuuuuuuu ukiona nipo kimya ujue sihitaji varangati na mtu kiki
zime adimika huna utakapopatia usinione Mwembamba ingia 18 uhadithie
wenzio Mr Machupi ya kushonesha.”