FILAMU na MUZIKI wa Kitanzania kutamba Barani Afrika
WASANII
wa FILAMU na MUZIKI wameshauriwa kuzalisha kazi zenye uweledi ili
ziweze kushindana na kazi nyingine za FILAMU na MZIKI barani Afrika.
BARAKA SHELUKINDO
Kauli hiyo imetolewa na Meneja uendeshaji wa MULTCHOICE
TANZANIA, BARAKA SHELUKINDO wakati akitangaza mikakati ya kuwaendeleza
wasanii wa Tanzania na kupungua kwa bei ya malipo kwa wateja wanaotumia
huduma za DSTV.SHELUKINDO amesema DSTV inakuja na programu nyingi za lugha ya kiswahili ambazo zinalenga kuwainua wasanii wa TANZANIA ili kufika katika hadhi ya kimataifa.
No comments