MAMELODI SUNDOWNS watwaa taji la klabu bingwa AFRIKA
MAMELODI
SUNDOWNS ya AFRIKA KUSINI jana usiku ilitawazwa kuwa mabingwa wapya wa
michuano ya ligi ya mabingwa barani AFRIKA pamoja na kufungwa bao moja
kwa bila na ZAMALEK ya MISRI
MAMELODI SUNDOWNS ya AFRIKA KUSINI
Pamoja na kushambulia kwa muda wote wa mchezo ZAMALEK walishindwa kupindua matokeo na goli lao pekee kwenye mchezo huo wa jana lilifungwa na STANLEY OHAWUCHI katika dakika ya 62 ya mchezo huo ambalo pia halikusaidia chochote kwao.
Mamelodi Sundowns inakuwa timu ya pili toka AFRIKA KUSINI kutwa taji la ligi ya mabingwa barani AFRIKA baada ya ORLANDO PIRATES kufanya hivyo mwaka 1995 yaani miaka 21 iliyopita.
No comments