Kiongozi wa juu wa ANC ataka viongozi wote wa chama kujiuzulu
JACKSON MTHEMBU
Mmoja
wa viongozi wa ngazi ya juu wa chama Tawala nchini AFRIKA KUSINI cha
ANC, - JACKSON MTHEMBU amewataka viongozi wote wa chama hicho kujiuzulu
MTHEMBU amesema kuwa viongozi wote wanatakiwa kuwajibika kwa sababu ya machafuko ndani ya ANC.
MTHEMBU ameongeza kuwa shutuma za ubadhirifu wa fedha zinazomkabili waziri wa Fedha wa nchi hiyo zimechochewa na masuala ya kisiasa.
No comments