Rais OBAMA afanya ziara nchini UJERUMANI
Rais
BARACK OBAMA wa Marekani ameanza ziara rasmi nchini UJERUMANI akiwa na
lengo la kuzungumzia mkataba wa kibiashara unaopendekezwa
Rais BARACK OBAMA wa Marekani ameanza ziara rasmi nchini
UJERUMANI akiwa na lengo la kuzungumzia mkataba wa kibiashara
unaopendekezwa, baina ya Marekani na Bara la Ulaya, uitwao T-TIP.
Kabla ya ziara yake, Waziri wa Uchumi wa UJERUMANI, SIGMAR GABRIEL, ameeleza kuwa MAREKANI haitaki kampuni za Ulaya kuomba kandarasi za MAREKANI.
Mapema maelfu ya watu waliandamana, katika mji wa HANOVER, kupinga mkataba huo.
Rais OBAMA ambaye atakuwa nchini UJERUMANI kwa ziara ya siku mbili amesema mkataba huo utaleta ajira na kukuza uchumi.
April 25, 2016
Aaron Mrikaria

No comments