• Breaking News

    Wafanyabiashara wadogo waondolewa Msimbazi


    Halmashauri ya Manispaa ya Ilala imewaondoa wafanyabiashara wadogo waliokuwa wanafanya shughuli zao kwenye njia ya mabasi yaendayo haraka BRT mtaa wa Msimbazi katika eneo la Kariakoo jijini Dar Es Salaam
    Mkuu wa wilaya ya Ilala Raymond Mushi
    Akizungumza wakati wa kuwaondoa wafanyabiashara hao na kusambaza mapipa ya kuwekea taka katika mtaa huo, Mkuu wa wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema wafanyabiashara hao watapangiwa maeneo mengine ya kufanyia biashara.
    Na Fatma Matulanga
    25 April 2016

    No comments

    Post Top Ad