Mtu mmoja ajeruhiwa kwa moto mkoani KAGERA
Mtu
mmoja amejeruhiwa kwa moto baada ya magari mawili yaliyokuwa yakipakua
mafuta kwa kutumia jenereta kulipuka karibu na eneo la BENAKO wilayani
NGARA mkoani KAGERA
Mkuu wa wilaya ya NGARA HONORATHA CHITANDA amesema gari
lililokuwa limebeba mafuta likitokea DSM kwenda RWANDA lilipata hitilafu
hatua iliyowafanya wahamishe mafuta kwenda gari lingine.
April 25, 2016
NORAH ULEDI
April 25, 2016
NORAH ULEDI
No comments