Mkoa wa LINDI waanza kutafuta bandari bubu
Uongozi
wa serikali Mkoani LINDI umeanza Mkakati wa Kuzifuatilia Bandari Bubu
zote katika Pwani ya Bahari ya Hindi kwa Lengo la kukusanya Mapato kwa
bidhaa zinazoingia
Uongozi wa serikali Mkoani LINDI umeanza Mkakati wa
Kuzifuatilia Bandari Bubu zote katika Pwani ya Bahari ya Hindi kwa Lengo
la kukusanya Mapato kwa bidhaa zinazoingia kupitia Bandari hizo na pia
kupambana na Uingizaji wa bidhaa zisizoruhusiwa.
Akizungumza wakati akikagua Ujenzi wa Gati katika Bandari ya LINDI Mkuu wa Mkoa huo GODFREY ZAMBI amesema kuwepo kwa Bandari bubu nyingi kunasababisha Bandari rasmi zisitumike ipasavyo na hivyo kuikosesha Serikali Mapato.
Aidha mkuu wa mkoa huyo Akizungumza mara baada ya kukamilisha ziara hiyo amesema pamoja na kuongezeka kwa Mapato kupitia Bandari ya LINDI, Kukamilika kwa Bandari ya Lindi kutachangia kwa Kiasi kikubwa kulinda na kuhifadhi barabara ya Kusini.
April 25, 2016
ASHERI CHILEWA

No comments