• Breaking News

    Rais Magufuli ateua makatibu tawala wa mikoa


    Rais John Magufuli amewateua makatibu tawala wa mikoa 26 ya Tanzania Bara

    Rais John Magufuli amewateua makatibu tawala wa mikoa 26 ya Tanzania Bara.
    Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamebaki katika vituo vyao vya sasa.


    Makatibu Tawala wapya walioteuliwa ni ;
    1.      Arusha -                     Richard Kwitega
    2.      Geita -                        Selestine Muhochi Gesimba
    3.      Kagera -                     Armatus C. Msole
    4.      Kilimanjaro -             Eng. Aisha Amour
    5.      Pwani -                       Zuberi Mhina Samataba
    6.      Shinyanga -                Albert Gabriel Msovela
    7.      Singida -                     Dr. Angelina Mageni Lutambi
    8.      Simiyu -                     Jumanne Abdallah Sagini
    9.      Tabora -                     Dkt. Thea Medard Ntara
    10.  Tanga -                       Eng. Zena Said

    Makatibu Tawala waliobadilishwa vituo vya kazi ni ;
    1.      Kigoma -                    Charles Amos Pallangyo (Kutoka Mkoa wa Geita)
    2.      Morogoro -                Dkt. John S. Ndunguru (Kutoka Mkoa wa Kigoma)
    Makatibu Tawala waliobaki katika vituo vyao vya sasa vya kazi ni ;
    1.      Dar es salaam -          Theresia Louis Mbando
    2.      Dodoma -                  Rehema Hussein Madenge
    3.      Iringa -                       Wamoja Ayubu Dickolagwa
    4.      Katavi -                       CP Paul Chagonja
    5.      Lindi -                        Ramadhan Habibu Kaswa
    6.      Mara -                        Benedict Richard Ole Kuyan
    7.      Manyara -                   Eliakimu Chacha Maswi
    8.      Mbeya-                       Mariam Amri Mjunguja
    9.      Mtwara -                     Alfred Cosmas Luanda
    10.  Mwanza -                   CP. Clodwing Mathew Mtweve
    11.  Njombe -                   Jackson Lesika Saitabau
    12.  Rukwa -                      Symthies Emmanuel Pangisa
    13.  Ruvuma -                   Hassan Mpali Bendeyeko
    Makatibu Tawala wa Mikoa 10 ambao wameteuliwa kwa mara ya kwanza, wataapishwa siku ya Jumatano tarehe 27 Aprili, 2016 saa tatu asubuhi Ikulu jijini Dar es salaam.
    25 April 2016

    No comments

    Post Top Ad