Noma Sana...Kikwete Atoa ya Moyoni Baada ya Kupanda Bombardia Kwa Mara ya Kwanza...!!!!
Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete Hivi Karibuni Alipanda Ndege Mpya za Air
Tanzania,Ambapo Mara Baada ya Kuzipanda Aliandika Ujumbe Huu Kupitia
Ukurasa wake wa Twitter
Nimefurahia kusafiri na @AirTanzania kuja Mwanza. Nimefurahia huduma,uweledi na ukarimu wa watoa huduma wake. Nawatia shime muendelee hivyo.

No comments