• Breaking News

    Polisi yatawanya waandamanaji Nairobi


    Polisi nchini Kenya wametumia mabomu ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kuwatawanya waandamanaji waliokusanyika karibu na ofisi za Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka – IEBC
    Polisi yatawanya waandamanaji Nairobi
    Polisi nchini Kenya wametumia mabomu ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kuwatawanya waandamanaji waliokusanyika karibu na ofisi za Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka – IEBC  mjini Nairobi kuishinikiza  kujiuzulu kabla  ya uchaguzi wa rais mwaka ujao.

    Mamia ya waandamaji waliweka ahadi ya kuandamana kila Jumatatu mpaka matakwa yao yatakaposikilizwa.

    Ulinzi umeimarshwa katika mji huo mkuu wa Kenya ili kuwadhibiti waandamanaji hao.

    Judica Losai

    No comments

    Post Top Ad