• Breaking News

    YANGA yashauriwa kutobweteka


    Aliyekuwa mchezaji wa klabu ya YANGA ALLY MAYAI TEMBELE na mchamuzi wa masuala ya soka imeitaka klabu ya YANGA kutobweteka katika mashindano ya kombe la shirikisho baada ya kutolewa ligi ya mabingwa AFRIKA
    YANGA yashauriwa kutobweteka
    MAYAI amesema timu  pinzani ya YANGA ya SAGRADA ya ANGOLA iko vizuri tofauti na watu wanavyoichukulia


    Baada ya kutolewa katika michuano ya ligi ya mabingwa ya AFRIKA YANGA sasa inacheza kombe la shirikisho kwa kucheza na SAGRADA ESPERANCA ya ANGOLA na wataanzia hapa nyumbani

    Akizungumzia mchezo wa kombe la FA MAYAI amesema hatashangaa kuona timu kubwa zinatupwa nje kutokana na kuwa presha wakati wa mchezo

    Katika nusu fainali ya FA YANGA iko TANGA kucheza na COASTAL UNION wakati AZAM FC iko SHINYANGA kucheza na MWADUI FC michezo yote itapigwa siku ya jumapili

    April 23, 2016
    EVANCE MHANDO

    No comments

    Post Top Ad