Kufa kufaana. Ingawa wanafunzi 32,293
wamekosa mikopo ya kugharamia elimu yao katika vyuo mbalimbali nchini,
wameisaidia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukusanya fedha
zinazotosha kuwalipia ada wenzao 646 kwa mwaka.
Kila mwanafunzi wakati wa kuomba mkopo
HESLB hujaza fomu huku akiambatanisha na ada ya Sh30,000 ambazo
hazirudishwi. Kwa hesabu za kawaida, jumla ya fedha zilizochangwa na
wanafunzi hao ni Sh968.7 milioni ambazo zinaweza kulipa ada ya mwaka
mmoja wa masomo kwa wanafunzi 646 katika vyuo vikuu mbalimbali, bila
kujumlisha gharama nyingine.
Ada ya mwanafunzi wa chuo kikuu kwa
mwaka mmoja wa masomo ni wastani wa Sh1.5 milioni, hivyo Sh968.7 milioni
zinaweza kuwalipia wanafunzi 646 ada kwa mwaka.
Wakati baadhi ya wanafunzi wakiwa
kwenye sintofahamu kuhusu gharama za masomo yao ya vyuo, bodi ya mikopo
imesema wanafunzi wote walioomba kama wana sifa za watapata mikopo.

No comments