TPDC yalipa fidia sh. Mil 300 kupisha ujenzi wa kiwanda cha mbolea
Shirika la Maendeleo la Petrol Nchini - TPDC limeendelea kulipa fidia kwa Wakazi wa vitongoji vya MIEMBE - MIWILI na MNAZI Mmoja
Kiongozi wa timu ya malipo kutoka TPDC, - ISUMAILI NALEJA amesema kuwa jumla ya Shilingi Milioni 300 zimetengwa kwa ajili ya kulipa fidia kwa Wakazi hao.
Nae Mwenyekiti wa kitongoji cha Miembe Miwili Yusufu Halafu ameishukuru serikali ya awamu ya tano kusikiliza kilio cha wananchi cha muda mrefu kuda ifidia yao na kuiomba halmashauri ya wilaya ya kilwa kuharakisha upimaji wa viwanja kwaajili ya wananchi ambao wamepewa muda wa miezi miwili kuondoka eneo hilo kupisha shughuri za ujenzi wa kiwanda hicho
No comments