DOWNLOAD YOUTUBE VIDEO BILA SOFTWARE
Internet Downloader Manager (IDM) version yoyote ile kama huna unaweza kuidownload hapa
Install idm kwenye pc yako.....
1. Sasa fungua video unayotaka kuidownload kwenye youtube iache ianze kuplay
2. Nenda sehemu ya url yaani ile sehemu yenye tovuti mf. www.youtube.com\cinema
mbele ya ile nukta ya kwanza baada ya www andika ss
mfano.. www.ssyoutube.com\cinema kisha bonyeza enter
3. Itaload na kukupeleka kwenye savefrom.net mahali ambapo ndo tutadownload video yetu.
Angalia upande wa kulia utakuta kuna aina unazoweza kuchagua udownload
mfano..MPEG 360, MPEG 720, FLV , MP4 nk click unayoitaka na usubiri
Kumbuka: Ukichagua format kubwa na ukubwa wa file unaongezeka
4.Utaona downloader yako imefunguka click download na itaanza kudownload
Mara nyingi file zinazodownload huwa zinahifadhiwa kwanye downloads folder kwenye computer yako
No comments