DOWNLOAD POWER ISO HAPA
Hii ni software ambayo hutumika kufanya kazi nyingi sana baadhi ya kazi hizo ni kama hizi zifuatazo
.....kufanya flash kuwa bootable
.....kuburn windows kwenye cd/dvd
.....kutengeneza image files/ iso files mfano kubadilisha windows kwenda kwenye iso files
kupata software hii waweza bonyeza hapo chini ili kuipakua
kupakuwa poweriso kwa 32bit bonyeza hapa
kupakuwa poweriso kwa 64bit bonyeza hapa
No comments