Mwanasoka bora wa zamani Afrika, Emmanuel Adebayor (kushoto)
akisalimiana na Waziri Mkuu wa Ufaransa, Manuel Valls mjini Lome, Togo
huku akitambulishwa na Rais wa nchi hiyo, Faure Gnassingbe. Hiyo ilikuwa
ni katika mapokezi ya kiongozi huyo kutoka Ufaransa
No comments