RIWAYA: She is My Wife- Sehemu ya 9 & 10
soma hapa

MUANDISHI:EDDAZARIA Ilipoishia...Dokta Williama aliendelea kuwasikiliza
wakuu hawa wa polisi ambao vyeo vyao vinawatambulisha kama ma RPC kwenye
mikoa yao.Lifti ikafunguka na wote wakatoka ndani ya lifti.Askari hao
wakaendelea kwa mwendo wa kasi na kuingia kwenye ukumbi wa
mikutano.Dokta William akajiweka sawa nguo zake na kuingia ndani ya
ukumbi huu.Gafla macho yake yakatazamana na midomo ya bastola...
No comments