Bodi ya Wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD), yaamua kuwarudisha kazini Wakurugenzi 3 kati ya 4 waliosimamishwa kazi Februari 15.Walikutwa hawana hatia kutoka kwenye tuhuma mbalimbali zilizokuwa zinawakabili
No comments