• Breaking News

    Sarafu ya Uingereza yaendelea kudorora

    Siku chache baada ya Uingereza kupiga kura ya kujiondoa kwenye muungano wa ulaya, sarafu ya nchi hiyo imeendelea kudorora mapema leo katika soko la ubadilishanaji wa fedha


    Baadhi ya masoko ya hisa katika bara la Asia yameanza kuimarika kufuatia kuporomoka kwa paundi kuanzia Ijumaa iliyopita.
    Waziri wa fedha wa UINGEREZA, GEORGE OSBORNE, amehakikishia masoko ya Ulaya kuwa matumaini ya siku zijazo kufuatia kura hiyo ya kujitenga.
    Soko la kubadilisha  fedha limefunguliwa leo likiwa asilimia 0.8% chini ya kiwango 

    No comments

    Post Top Ad