HABARI MBAYA:Gari Latumbukia Baharini Wakati likisubiri Kivuko cha Kigamboni leo Asubuhi..Lilikuwa na Watu Wawili Ndani

Habari mbaya imetufikia kuwa leo asubuhi eneo kivukoni Kigamboni kuna
gari ambalo lilikuwa linasuburia kivuko ili kuvuka limeingia baharini
huku likiwa na watu wawili ndani yake mpaka sasa inasemekana amepatikana
mtu mmoja ambaye wakati gari linaelekea baharini aliruka , mtu wa pili
ni mwanamke ambaye hajapatikana mpaka sasa na gari pia alijapatikana
utafutaji bado unaendelea....



No comments