Mbowe, Besigya Wakaribishwa Ikulu Ghana

Rais wa Ghana Akufo- Addo, Kiongozi mwenye umri wa miaka 72, na ambaye
ni wakili wa zamani wa kutetea haki za binadamu, mara tu baada ya
kuapishwa katiaka viwanaja vya Accra nchi humo Janauari 7 2017. Ameanza
kuyatekeleza majukumu yake kwa nchi zingine za Afrika ikiwemo kukuza
demokrasia ya kweli kwa kuupa ngvu mfumo wa vyama vingi.

Katika sherehe za kuapishwa Rais huyo mpya alisema ni lazima kurejesha
uadilifu serikalini, na kwamba fedha za umma hazipaswi kutumika visivyo
na chama kinachoshinda uchaguzi bali kukuza rasrimali za nchi na
maendeleo kiuchumi. Na kwa watu waliomchagua, rais Akufo Addo alikuwa na
Ujumbe huu.
Aidha Rais Nana Akufo-Addo aliyemshinda John Mahama katika uchaguzi wa
rais mwezi jana, leo amewakaribisha viongozi wa vyama vya upinzani,
mwenyekiti wa chama cha Demokraia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe
kutoka Tanzania na Kizza Besigye Kifefe mwnasiasa mashughuli kutoka
Uganda, Ikulu nchini humo leo kwa mazungumzo ya kisiasa.
No comments