• Breaking News

    Huyu Diamond Huyu:Auanza Mwaka Kwa Tuzo Hii Maarufu ,Unataka Kuijua Ni tuzo Ipi Hiyo?,Tazama Hapa..!!!

    diamond1MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameshinda tena tuzo za Too Exclusive zinazotolewa nchini Nigeria katika kipengele cha Msanii Bora wa Mwaka 2016 ambacho hutolewa kwa msanii asiyekuwa wa nchi hiyo (Nigeria) ambaye anafanya vizuri kwa bara zima la Afrika..

     
    Katika tuzo hizo, wengine waliokuwa wakiwania vipengele mbalimbali ni  Wizkid, Tekno na Tiwa Savage, Kiss Daniel, Simi na wengine kibao.
     banger
    best
    colabo
    director-tuzo
    dk-sp


    flag-na-simi
    flag-tuzo

    kiss-daniel


    simi-tuzo


    simiii


    tuzo-wiz-kid


    tuzo20


    wande-tuzo2


    wiz-kid-tuzo


    ybnl


    ycee-tuzo


    young-john


    No comments

    Post Top Ad