UVUMI Juu Ya Noti Ya Shilingi 500
Benki kuu ya Tanzania inapenda kuwafahamisha wananchi wote kuwa,habari
inayoenea katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba noti ya shilingi
mia tano haitatumika tena kuanzia Desemba 31,2016; sio taarifa ya kweli
na ni uvumi unaopaswa kupuuzwa.
Ukweli ni kwamba noti ya shilingi 500 itaendelea kuwepo katika mzunguko sambamba na ile sarafu ya shilingi 500 hadi pale noti hiyo itakapotoweka mikononi mwa wananchi. Tafadhali mpuuze taarifa hizo sio za ukweli.
Marcian Kobello.
Mkurugenzi wa Huduma za kibenki- BOT

No comments