MWASITI Anyang'anywa Benzi Alilokuwa Akiendesha, Mwenyewe Azungumza
Msanii mkali toka THT Mwasiti Almasi yasemekana amenyang'anywa Benz alilokuwa akitamba nalo hapa mjini baada ya kutoonekana nalo kwa muda
Akihojiwa kuhusu swala hilo amesema yeye huwa haongelei maswala yake binafsi ila baada ya kubanwa sana akasema aliyemhonga amelichukua
VIDEO:
Msanii mkali toka THT Mwasiti Almasi yasemekana amenyang'anywa Benz alilokuwa akitamba nalo hapa mjini baada ya kutoonekana nalo kwa muda
Akihojiwa kuhusu swala hilo amesema yeye huwa haongelei maswala yake binafsi ila baada ya kubanwa sana akasema aliyemhonga ame
No comments