JINSI YA KU-UPDATE WINDOWS
Je umekuwa ukishangaa jinsi bundle yako inavyoisha kwenye
computer yako?
Chagua Windows Update
Change Setting
Itaanza kutafuta Updates Yenyewe
Ikimaliza ku-updates Itauliza Kama unataka iunstall saivi…Ukikubali Computer Yako itazima Yenyewe huku ikiwa inaistall hizo updates(Usiilazimishe kuzima iache mpaka izime yenyewe)
Je umekuwa ukipata tabu kwa kutokujua namna ya ku_update windows yako?
NB: Hii ni Kwa watumiaji wa Microsoft Windows tu..Kwa watumiaji
wa Operating System Nyingine Fuatilia Post Zingine
1. 1. KUJUA NAMNA YA KUZUIA/KURUHUSU NAMNA YA
KU-UPDATE WINDOWS
-
Click Start
-
Chagua Control Panel
-
Chagua System And Security
Chagua Windows Update
Change Setting
-Badilisha
Namna Window I-Install Update
*Kama hutaki iwe inatafuta Update Kabisa Chagua—Never Check For
Update(Not
Recommended)
*Ukitaka Iwe inaupdate yenyewe chagua—Install Updates Automatically
Kuna Option Nyingine pia waweza chagua
*Kama unataka iangalia updates na kudownload lakini wewe ndo uamue kama
install au la chagua—
Check For Updates But Let Me Choose Whether to Install Them
*Kama
unataka iangalia updates tu lakini wewe ndo uamue kama idownload na kuinstall
chagua— Check For Updates But Let Me Choose Whether to Download and Install
Them
Nb: Recommended
na Not recommended zisikutie shaka
1. 2.
KU-UPDATE WINDOWS
*Njia Rahisi Ni kufata Mwongozo wa Kwa za
Na kuchagua Install Updates Automatically
*Kwa wale tuliochagua Let Me Choose Whether To DownLoad And Install Them
-Click
Check For Updates
Itaanza kutafuta Updates Yenyewe
Ikimaliza Itaonesha Orodha Ya Updates ZInazoweza Kuwa
Downloaded Na Kuinstall
Ikimaliza ku-updates Itauliza Kama unataka iunstall saivi…Ukikubali Computer Yako itazima Yenyewe huku ikiwa inaistall hizo updates(Usiilazimishe kuzima iache mpaka izime yenyewe)
No comments