RIWAYA: She is My Wife- Sehemu ya 5 & 6
soma hapa

Muandishi : Eddazaria g.MsulwaIlipoishia.........Rahabu akapunguza
mwendo wa pikipiki na agnes akaruka na kukimbilia njia aliyo kwenda
kibopa,rahab akapita njia aliyo kwenda muntar.Muntar akajibanza kwenye
mti na kuokota gongo kubwa na kulishika kwa umakini.Gafla rahab
akajikuta akiichia pikipiki na kuanguka chini hii ni baada ya kupigwa
gongo la kifua na muntar akajitokeza mbele yake huku akiwa...
No comments