• Breaking News

    Tazama Goli la samatta Ushindi Alilofunga Jana

    Mbwana Samatta anazidi kuonyesha uwezo mzuri wa kupachika mabao baada ya jana kupachika bao lililoipa ushindi Genk wa bao mbili kwa moja dhidi ya Oostende.,
    Mbwana Samatta aliingia uwanjani dakika ya 80 na katika dakika 91 akapachika bao


    Tazama Video Hapa jinsi alivyopachika bao safi:

    No comments

    Post Top Ad