Baba Amwandaa Mtoto Wake Aje Kuwa Rais wa Tanzania 2050, Wasafiri Kwa Baiskeli Kutoka Singida Hadi Dar
Huyu dogo anaitwa Yusuph Mohamed Nassor (2), baba yake Mzee Ahmed Nassor (67) amesema wakati ana mwaka mmoja na nusu alisema anataka kuwa Rais hivyo anamuandaa kuja kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2050 kupitia Chama Cha CCM. Yeye na Baba yake wamekuja Dar es Salaam kutoka Singida kwa usafiri wa baiskeli kuja kuonana na Rais Magufuli
Nini maoni yako hapo?
Nini maoni yako hapo?

No comments