SHINYANGA: Wauguzi wawili wa kituo cha Afya Lyabukande, wamesimamishwa kazi sababu ya uzembe uliosababisha mwanamke mjamzito kujifungulia kwenye korido.Pia wamefunguliwa mashtaka kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utumishi. ..
No comments