• Breaking News

    Wanamichezo wahamasishwa kujiunga na mifuko ya hifadhi

    Msanii MRISHO MPOTO pamoja na bendi yake wametoa burudani katika viwanja vya SABASABA na kuhamasisha jamii kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii PSPF kwa faida yao ya baadae.


    MRISHO MPOTO
    Akizungumza katika viwanja hivyo MRISHO MPOTO amesema ujumbe wanaotoa katika kuimba unasaidia kuhamasisha watu kujiunga na mfuko huo.
    Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela ameahidi kushirikiana na wadau wa michezo mkoani humo kufufua soka na kutatua migogoro sugu ya Klabu ya Lipuli ili kuleta matumaini mapya ya mpira mkoani Iringa.

    No comments

    Post Top Ad