• Breaking News

    TAZAMA Video Mpya ya Diamond Akishirikiana na P-Square

    Diamond Platnumz ambaye ni muda umepita toka athibitishe kufanya collabo na wasanii mapacha wanaounda kundi la P Square, Peter & Paul leo July 12 ameamua kuachia rasmi video hiyo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki, video mpya Diamond ft P Square inaitwa ‘Kidogo’

    No comments

    Post Top Ad