• Breaking News

    Rais Magufuli Ategua Uteuzi wa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodies ya Benki ya TIB...Amtea Huyu Kushika Nafasi


    UTEUZI: Rais John Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Benki ya TIB.

    Ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof. William Lyakurwa

    No comments

    Post Top Ad