• Breaking News

    Naibu Spika Tulia Ackson Adai Kura za Ukawa Haziwezi Kumng'oa Katika Nafasi yake


    Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa kiuhalisia kura za Wabunge wa UKAWA haziwezi kumng'oa katika nafasi yake kwa sababu idadi yao ni ndogo.
    Amesema hoja ya wabunge wa UKAWA kutaka aenguliwe kwenye wadhifa wake inafanyiwa kazi na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

    No comments

    Post Top Ad