TANZIA: Mtanzania, Samson Charles Bidan (20), aliyekuwa akiishi huko katika jiji la North Plate nchini Marekani, amefariki dunia baada ya kutumbukia mtoniAlikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu akijiandaa na mashindano ya michezo vyuoni (NCAA)
No comments