• Breaking News

    Video: Diamond Anyesha Mvua ya Hela Kwenye Birthday ya Mtoto wa Aunty Ezekiel

    Aunty Ezekiel alitamani angeenda na mwavuli kujikinga na mvua ya hela iliyomnyeshea juzi kwenye birthday ya kutimiza mwaka mmoja ya mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo. Ni Diamond ndiye aliyesababisha mafuriko ya noti yaliyomfanya muigizaji huyo apagawe! Check hiyo ujionee mwenyewe.

    No comments

    Post Top Ad